Benki ya Dunia,na serikali kufanya ushirikiano.

0
17

Serikali ya Jimbo la Edo imeingia katika ushirikiano na Benki ya Dunia, Wizara ya Shirikisho ya Fedha na pia Bajeti na Mipangilio ya Taifa ili kusaidia ufanisi wa Jimbo ya kutekeleza miradi ya kupunguza umaskini wake.

Karani Mkuu wa Habari wa Jimbo la Edo, Mheshimiwa John Mayaki alisema ushirikiano huu nimatokeo ya ziara ya gavana wa jimbo, Mheshimiwa Godwin Obaseki kwa mashirika hao watatu mwishoni mwa wiki mjini Abuja.

Akiwa Benki ya Dunia, gavana alitaka mchango wa taasisi wakati Jimbo ikiji andaa kwa bajeti yake 2017. Alisema benki itatoa msaada mengi ya kiufundi katika sekta ya JImbo,ambayo inaweza kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kujenga ajira. 

 “Mimi niko katika Benki ya Dunia, na unajua wao wamekuwa washirika wa kazi sana katika utawala wa Jimbo na hivyo wakati huu tunapo jiandaa kwa ajili ya bajeti 2017, tunahitaji kuwa na mazungumzo nao juu ya baadhi ya maeneo ya msaada na pia kutoa shukrani zetu kwa msaada wao tangu miaka minane iliyopita.

Tunaamini kuwa Benki ya Dunia itakuwa ya msaada mkubwa kutoka muhundo wa bajeti kwenda msaada wa kiufundi kwa baadhi ya mipango yetu. Tuna vifaa kwa mfano kanda kusindika mazao ambayo tuna nia ya kuunganisha; tunazo vifaa yakusaidia ufundi wa elimu ambayo tumeshazipata na tuna mipango mengi ambazo tulijadili na kuwa na matumaini ya kuzipata pia.

SHARE

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY