Majeshi kuwaua magaidi wa Boko Haram katika Borno

  Jeshi la Nigeria imewauwa wapiganaji 10 na kujeruhi wengine kadhaa ambao alijitokeza kujaribu kufanya mashambulizi kwenye makazi yao katika Borno. Mkurugenzi wa Mahusiano ya Umma...

VON DG ya toa wito kwa ajili ya kukuza amani katika...

Idara ya amani ya Nigeria yatolewa wito kuwa mawakala wa amani na utulivu nchini. Mkurugenzi Mkuu wa Sauti ya Nigeria Bw. Osita Okechukwu alitoa wito...

Nigeria kumpa hifadhi Rais Yahya Jammeh iwapo atajiuzulu

Bunge nchini Nigeria limeunga mkono mswada wa kumpatia hifadhi rais Yahya Jammeh iwapo atjiuzulu. Alipoteza uchaguzi mnamo mwezi Disemba, lakini anataka matokeo ya kura hiyo...

Hakuna mgogoro katika National Assembly-Saraki

.Rais wa Seneti la Nigeria, Dkt. Bukola Saraki amesema kuna amani sasa katika chumba cha juu cha Bunge la Nigeria. Hii ni mwema kwa kuondolewa...

Seneti ya towito kwa mabadiliko ya kupiga marufuku uingizaji magari

Seneti la Nigeria lataka Idara ya Forodha kuahirisha hatua zaidi juu ya sera yake ya kupiga marufuku wazi juu ya uingizaji wa magari kupitia...

Viongozi wa ECOWAS kuongoza mazungumzo kuhusu Gambia

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari anandaa mkutanao wa viongozi wanne wa nchi za Afrika Magharibi baadaye katika jitihada za kuzuia kutokea ghasia nchini Gambia. Hii...

Serikali ya Nigeria ya nunua vitambo ili kuongeza uzalishaji wa mpunga

Wizara ya Kilimo na Maendeleo Vijijini kwa kushirikiana na Kampuni la mashamba Efugo limenunua vitambo themanini ya wavunaji mchele kusaidia kukuza tija mchele katika...

Nigeria kupeleka askari 800 kwa Dafur kwa kulinda amani

Mkuu wa Jeshi,  Luteni Jenerali Tukur Buratai, anasema Nigeria ita peleka askari 800 kwa Tume la Umoja wa Mataifa (UNAMID) katika Dafur. Buratai alisema katika...

Nigeria yaanza kuwapatia fedha raia maskini

Serikali ya Nigeria imeanza kusambaza mpango mpya wa kuwapa fedha za kila mwezi, watu maskini na wasiojiweza katika jamii. Hatua ya kwanza ya kutolewa kwa...